Yobu 22:26 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC26 Kwani ndipo utakapojifurahisha katika Mwenyezi, Na kuinua uso wako kumwelekea Mungu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema26 basi, ndipo utakapomfurahia Mungu mwenye nguvu na kutazama kwa matumaini; Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND26 basi, ndipo utakapomfurahia Mungu mwenye nguvu na kutazama kwa matumaini; Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza26 basi, ndipo utakapomfurahia Mungu mwenye nguvu na kutazama kwa matumaini; Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu26 Hakika ndipo utakapojifurahisha kwa Mwenyezi, nawe utamwinulia Mungu uso wako. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu26 Hakika ndipo utakapojifurahisha kwa Mwenyezi, nawe utamwinulia Mungu uso wako. Tazama sura |