Yobu 22:25 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC25 Naye Mwenyezi atakuwa hazina yako, Atakuwa ni fedha ya thamani kwako. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema25 Mungu Mwenye Nguvu akawa ndio dhahabu yako, na fedha yako ya thamani; Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND25 Mungu Mwenye Nguvu akawa ndio dhahabu yako, na fedha yako ya thamani; Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza25 Mungu Mwenye Nguvu akawa ndio dhahabu yako, na fedha yako ya thamani; Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu25 ndipo Mwenyezi atakuwa dhahabu yako, naye atakuwa fedha yako iliyo bora. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu25 ndipo Mwenyezi atakuwa dhahabu yako, naye atakuwa fedha yako iliyo bora. Tazama sura |