Yobu 22:16 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC16 Ambao walinyakuliwa kabla ya wakati wao, Msingi wao ulimwagika kama kijito cha maji; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 Hao walifagiliwa kabla ya wakati wao, misingi yao ilikumbwa mbali na maji. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 Hao walifagiliwa kabla ya wakati wao, misingi yao ilikumbwa mbali na maji. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 Hao walifagiliwa kabla ya wakati wao, misingi yao ilikumbwa mbali na maji. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 Waliondolewa kabla ya wakati wao, misingi yao ikachukuliwa na mafuriko. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 Waliondolewa kabla ya wakati wao, misingi yao ikachukuliwa na mafuriko. Tazama sura |