Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Yobu 22:15 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

15 Je! Utaifuata njia ya zamani Waliyoikanyaga watu waovu?

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

15 “Je, umeamua kufuata njia za zamani ambazo watu waovu wamezifuata?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

15 “Je, umeamua kufuata njia za zamani ambazo watu waovu wamezifuata?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

15 “Je, umeamua kufuata njia za zamani ambazo watu waovu wamezifuata?

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

15 Je, utaifuata njia ya zamani, ambayo watu waovu waliikanyaga?

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

15 Je, utaifuata njia ya zamani, ambayo watu waovu waliikanyaga?

Tazama sura Nakili

Yobu 22:15
5 Marejeleo ya Msalaba  

BWANA akaona ya kuwa maovu ya mwanadamu ni makubwa duniani na kwamba kila kusudi analowaza moyoni mwake ni baya tu siku zote.

Laiti Ayubu angejaribiwa hadi mwisho, Kwa kuwa amejibu kama watu waovu.

Atembeaye na hao watendao uovu, Na kwenda pamoja na watu wabaya.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo