Yobu 22:11 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC11 Au je! Huoni giza, Na maji mengi yanayokufunika? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema11 Giza limekuangukia usione kitu; mafuriko ya maji yamekufunika. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND11 Giza limekuangukia usione kitu; mafuriko ya maji yamekufunika. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza11 Giza limekuangukia usione kitu; mafuriko ya maji yamekufunika. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu11 ndiyo sababu ni giza sana huwezi kuona, tena ndiyo sababu mafuriko ya maji yamekufunika. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu11 ndiyo sababu ni giza sana huwezi kuona, tena ndiyo sababu mafuriko ya maji yamekufunika. Tazama sura |