Yobu 22:10 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC10 Kwa hiyo umezungukwa na mitego, Na hofu ya ghafla yakutaabisha, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 Kwa hiyo mitego imekuzunguka pande zote, hofu ya ghafla imekuvamia. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Kwa hiyo mitego imekuzunguka pande zote, hofu ya ghafla imekuvamia. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Kwa hiyo mitego imekuzunguka pande zote, hofu ya ghafla imekuvamia. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 Ndiyo sababu mitego imekuzunguka pande zote, hatari ya ghafula inakutia hofu, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 Ndiyo sababu mitego imekuzunguka pande zote, hatari ya ghafula inakutia hofu, Tazama sura |