Yobu 21:9 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC9 Nyumba zao ni salama bila hofu, Wala fimbo ya Mungu haiwapigi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 Kwao kila kitu ni salama bila hofu; wala kiboko cha Mungu hakiwafikii. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Kwao kila kitu ni salama bila hofu; wala kiboko cha Mungu hakiwafikii. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Kwao kila kitu ni salama bila hofu; wala kiboko cha Mungu hakiwafikii. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 Nyumba zao zi salama wala hakuna hofu; fimbo ya Mungu haiko juu yao. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 Nyumba zao zi salama wala hakuna hofu; fimbo ya Mungu haiko juu yao. Tazama sura |