Yobu 21:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC4 Mimi, je! Mashitaka yangu yamhusu mwanadamu? Nami kwa nini nisikose kusubiri? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Je, mimi namlalamikia binadamu? Ya nini basi, nikose uvumilivu? Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Je, mimi namlalamikia binadamu? Ya nini basi, nikose uvumilivu? Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Je, mimi namlalamikia binadamu? Ya nini basi, nikose uvumilivu? Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 “Je, kwani malalamiko yangu yanaelekezwa kwa mwanadamu? Kwa nini nisikose subira? Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 “Je, kwani malalamiko yangu yanaelekezwa kwa mwanadamu? Kwa nini nisikose subira? Tazama sura |