Yobu 21:34 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC34 Basi imekuwaje ninyi kunituliza moyo kwa utupu mtupu, Kwa kuwa katika majibu yenu unasalia uongo tu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema34 Mtawezaje basi, kunifariji kwa maneno matupu? majibu yenu hayana chochote ila uongo.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND34 Mtawezaje basi, kunifariji kwa maneno matupu? majibu yenu hayana chochote ila uongo.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza34 Mtawezaje basi, kunifariji kwa maneno matupu? majibu yenu hayana chochote ila uongo.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu34 “Hivyo ninyi mnawezaje kunifariji kwa upuzi wenu? Hakuna kilichosalia cha majibu yenu isipokuwa uongo!” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu34 “Hivyo ninyi mnawezaje kunifariji kwa upuzi wenu? Hakuna kilichosalia cha majibu yenu isipokuwa uongo!” Tazama sura |