Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yobu 21:32 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

32 Pamoja na hayo atachukuliwa kaburini, Nao watalinda zamu juu ya kaburi lake.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

32 Anapochukuliwa kupelekwa kaburini, kaburi lake huwekewa ulinzi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

32 Anapochukuliwa kupelekwa kaburini, kaburi lake huwekewa ulinzi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

32 Anapochukuliwa kupelekwa kaburini, kaburi lake huwekewa ulinzi.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

32 Hupelekwa kaburini, nao ulinzi ukawekwa kwenye kaburi lake.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

32 Hupelekwa kaburini, nao ulinzi ukawekwa kwenye kaburi lake.

Tazama sura Nakili




Yobu 21:32
6 Marejeleo ya Msalaba  

Ni nani atakayetangaza njia yake usoni pake? Tena ni nani atakayemlipa kwa hayo aliyofanya?


Udongo wa bondeni utakuwa tamu kwake, Na watu wote watafuata nyuma yake, Kama vile walivyomtangulia watu wasiohesabika.


Kama kondoo wamewekwa kwenda kuzimu, Na kifo kitakuwa mchungaji wao; Watu wanyofu watawamiliki asubuhi; Miili yao itaoza, kao lao ni kuzimu.


Lakini mtakufa kama wanadamu, Mtaanguka kama mmoja wa wakuu.


Ikawa yule maskini alikufa, akachukuliwa na malaika mpaka kifuani kwa Abrahamu. Yule tajiri naye akafa, akazikwa.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo