Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Yobu 21:28 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

28 Kwa kuwa mwasema, Nyumba ya huyo mkuu i wapi? Na hema waliyoikaa hao waovu iko wapi?

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

28 Eti mwauliza, ‘Iko wapi nyumba ya mkuu? Iko wapi nyumba alimoishi mwovu?’

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

28 Eti mwauliza, ‘Iko wapi nyumba ya mkuu? Iko wapi nyumba alimoishi mwovu?’

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

28 Eti mwauliza, ‘Iko wapi nyumba ya mkuu? Iko wapi nyumba alimoishi mwovu?’

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

28 Mwasema, ‘Iko wapi sasa nyumba ya huyo mtu mkuu, mahema ambayo watu waovu walikaa?’

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

28 Mwasema, ‘Iko wapi sasa nyumba ya huyo mtu mkuu, mahema ambayo watu waovu walikaa?’

Tazama sura Nakili




Yobu 21:28
15 Marejeleo ya Msalaba  

Mali yake nayo ilikuwa ni kondoo elfu saba, na ngamia elfu tatu, na jozi za ng'ombe mia tano, na punda wake mia tano, na watumishi wengi sana; basi hivi mtu huyo alikuwa ni mkuu sana kuliko watu wote wa upande wa mashariki.


Hakika ndivyo yalivyo makazi ya wapotovu, Na hapa ni mahali pake asiyemjua Mungu.


Ya kuwa shangwe ya waovu ni kwa muda kidogo, Na furaha ya wapotovu ni ya dakika moja tu?


Hata hivyo ataangamia milele kama mavi yake mwenyewe; Hao waliomwona watasema, Yuko wapi?


Tazama, nayajua mawazo yenu, Na mipango miovu mnayoazimia kufanya juu yangu.


Je! Hamkuwauliza wapitao njiani? Na maonyo yao hamyajui?


Tazama, ninyi nyote mmeyaona wenyewe; Mbona basi mmebatilika kabisa?


Ningemwambia hesabu ya hatua zangu Ningemkaribia kama vile mkuu.


Hao wakuchukiao watavikwa aibu; Nayo hema yake mwovu haitakuwako tena.


“Sitaingia nyumbani mwangu, Wala sitalala kitandani mwangu;


Nikapita na kumbe! Hayuko, Nikamtafuta wala hakuonekana.


Nitaituma itokee, asema BWANA wa majeshi, nayo itaingia katika nyumba ya mwizi, na katika nyumba ya yeyote aapaye kwa uongo kwa jina langu; nayo itakaa katika nyumba yake, na kuiteketeza, pamoja na boriti zake na mawe yake.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo