Yobu 21:26 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC26 Wao hulala mavumbini sawasawa, Mabuu huwafunika. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema26 Hata hivyo, wote hufa na kuzikwa, wote hufunikwa na mabuu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND26 Hata hivyo, wote hufa na kuzikwa, wote hufunikwa na mabuu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza26 Hata hivyo, wote hufa na kuzikwa, wote hufunikwa na mabuu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu26 Hao wote hulala mavumbini, nao mabuu huwafunika wote. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu26 Hao wote hulala mavumbini, nao mabuu huwafunika wote. Tazama sura |
Mambo yote yawatukia wote sawasawa; kuna tukio moja kwake mwenye haki na kwake asiye haki; kwa mtu mwema na kwa mtu mwovu; kwa mtu aliye safi na kwa mtu asiye safi; kwake yeye atoaye kafara na kwake asiyetoa kafara; kama alivyo huyo mwema ndivyo alivyo mwenye dhambi; yeye aapaye na yeye aogopaye kiapo.