Yobu 21:24 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC24 Vyombo vyake vimejaa maziwa, Na mafuta ya mifupani mwake ni laini. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema24 amejaa mafuta tele mwilini, na mifupa yake ikiwa bado na nguvu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND24 amejaa mafuta tele mwilini, na mifupa yake ikiwa bado na nguvu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza24 amejaa mafuta tele mwilini, na mifupa yake ikiwa bado na nguvu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu24 mwili wake ukiwa umenawiri, nayo mifupa yake ikiwa imejaa mafuta. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu24 mwili wake ukiwa umenawiri, nayo mifupa yake ikiwa imejaa mafuta ndani yake. Tazama sura |