Yobu 21:23 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC23 Mmoja hufa katika nguvu zake kamili, Mwenye kukaa salama na kustarehe; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema23 “Mtu hufa katika kilele cha ufanisi wake, akiwa katika raha mustarehe na salama; Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND23 “Mtu hufa katika kilele cha ufanisi wake, akiwa katika raha mustarehe na salama; Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza23 “Mtu hufa katika kilele cha ufanisi wake, akiwa katika raha mustarehe na salama; Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu23 Mtu mmoja hufa akiwa na nguvu zake kamili, akiwa salama na mwenye amani, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu23 Mtu mmoja hufa akiwa na nguvu zake kamili, akiwa salama na mwenye raha kamili, Tazama sura |