Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Yobu 21:21 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

21 Kwani ana furaha gani katika ukoo wake baada yake, Hesabu ya miezi yake itakapokwisha katwa katikati?

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

21 Maana wakifa watajali nini juu ya wazawa wao, wakati siku zao zitakapokuwa zimefika mwisho?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

21 Maana wakifa watajali nini juu ya wazawa wao, wakati siku zao zitakapokuwa zimefika mwisho?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

21 Maana wakifa watajali nini juu ya wazawa wao, wakati siku zao zitakapokuwa zimefika mwisho?

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

21 Kwani anajali nini kuhusu jamaa anayoiacha nyuma, miezi yake aliyopangiwa ifikapo mwisho?

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

21 Kwani anajali nini kuhusu jamaa anayoiacha nyuma, miezi yake aliyopangiwa ifikapo mwisho?

Tazama sura Nakili

Yobu 21:21
8 Marejeleo ya Msalaba  

Wanawe hufikia heshima, wala yeye hajui; Kisha wao huaibishwa, lakini yeye hana habari zao.

Kwa kuwa siku zake zimeamriwa, hesabu ya miezi yake unayo wewe, Nawe umemwekea mipaka yake asiyoweza kuipita;

Macho yake mwenyewe na yaone uharibifu wake, Akanywe ghadhabu zake Mwenyezi.

Je! Mtu awaye yote atamfundisha Mungu maarifa? Naye ndiye awahukumuye walioko juu.

Nitasema, Ee Mungu wangu, usiniondoe katikati ya siku zangu; Miaka yako ni tangu kizazi hata kizazi.

Nawe, Ee Mungu, utawateremsha, Wafikie shimo la uharibifu; Watu wa damu na hila hawataishi nusu ya siku zao, Bali mimi nitakutumaini Wewe.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo