Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Yobu 21:17 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

17 Je! Ni mara ngapi taa yao waovu huzimwa? Na msiba wao kuwajia? Na Mungu kuwagawanyia uchungu kwa hasira yake?

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

17 “Mara ngapi umepata kuona mwanga wa maisha ya mwovu umezimwa, wakapata kukumbwa na maafa, au Mungu amewahi kuwaangamiza kwa hasira yake?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

17 “Mara ngapi umepata kuona mwanga wa maisha ya mwovu umezimwa, wakapata kukumbwa na maafa, au Mungu amewahi kuwaangamiza kwa hasira yake?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

17 “Mara ngapi umepata kuona mwanga wa maisha ya mwovu umezimwa, wakapata kukumbwa na maafa, au Mungu amewahi kuwaangamiza kwa hasira yake?

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

17 “Lakini ni mara ngapi taa ya waovu huzimwa? Ni mara ngapi maafa huwajia, yale yawapatayo ambayo Mungu huwapangia katika hasira yake?

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

17 “Lakini ni mara ngapi taa ya waovu huzimwa? Ni mara ngapi maafa huwajia, yale yawapatayo ambayo Mungu huwapangia katika hasira yake?

Tazama sura Nakili

Yobu 21:17
13 Marejeleo ya Msalaba  

Atakimbizwa kutoka mwangani hata gizani, Na kufukuzwa atoke duniani.

Kwamba mwovu huachiliwa katika siku ya msiba? Na kuongozwa nje katika siku ya ghadhabu?

Kwani sehemu ya Mungu itokayo juu ingekuwa nini, Na urithi wa Mwenyezi utokao juu?

Je! Siyo msiba kwa wasio haki, Na hasara kwao watendao uovu?

Naye mtu mwovu ana mapigo mengi, Bali amtumainiaye BWANA fadhili zitamzunguka.

Nuru ya mwenye haki yang'aa sana; Bali taa ya mtu mbaya itazimika.

Amlaaniye babaye au mamaye, Taa yake itazimika katika giza kuu.

Kwa maana mtu mbaya hapati thawabu; Taa ya mtu mbaya itazimika.

Wale wapumbavu wakawaambia wale wenye busara, Tupeni mafuta yenu kidogo; maana taa zetu zinazimika.

bwana wake mtumwa huyo atakuja siku asiyodhani na saa asiyojua, atamkata vipande viwili, na kumwekea fungu lake pamoja na wasioamini.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo