Yobu 21:16 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC16 Tazama, kufanikiwa kwao hakumo mkononi mwao; Mipango ya waovu na iwe mbali nami. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 Kufanikiwa kwao si kuko mikononi mwao, wakiwa wamemweka Mungu mbali na mipango yao? Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 Kufanikiwa kwao si kuko mikononi mwao, wakiwa wamemweka Mungu mbali na mipango yao? Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 Kufanikiwa kwao si kuko mikononi mwao, wakiwa wamemweka Mungu mbali na mipango yao? Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 Lakini kufanikiwa kwao hakupo mikononi mwao wenyewe, hivyo najitenga mbali na ushauri wa waovu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 Lakini kufanikiwa kwao hakupo mikononi mwao wenyewe, hivyo najitenga mbali na shauri la waovu. Tazama sura |