Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Yobu 21:10 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

10 Fahali wao huvyaza wala hapungukiwi na nguvu; Ng'ombe wao jike huzaa, asiharibu mimba.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

10 Naam, ng'ombe wao wote huongezeka, huzaa bila matatizo yoyote.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

10 Naam, ng'ombe wao wote huongezeka, huzaa bila matatizo yoyote.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

10 Naam, ng'ombe wao wote huongezeka, huzaa bila matatizo yoyote.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

10 Madume yao ya ng’ombe huvyaza bila kushindwa kamwe; ng’ombe wao huzaa wala hawaharibu mimba.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

10 Madume yao ya ng’ombe huvyaza bila kushindwa kamwe; ng’ombe wao huzaa wala hawaharibu mimba.

Tazama sura Nakili

Yobu 21:10
9 Marejeleo ya Msalaba  

Huwatoa kama kundi watoto wao. Na watoto wao hucheza.

Nyumba zao ni salama bila hofu, Wala fimbo ya Mungu haiwapigi.

Hapatakuwa na mwenye kuharibu mimba, wala aliye tasa, katika nchi yako; na hesabu ya siku zako nitaitimiza.

Akasema, Palikuwa na mtu mmoja, tajiri, aliyevaa nguo za rangi ya zambarau na kitani safi, na kula sikuzote kwa anasa.

BWANA atakufanya uwe na wingi wa uheri, katika uzao wa tumbo lako, na uzao wa wanyama wako wa mifugo, na uzao wa nchi yako, katika nchi BWANA aliyowaapia baba zako kwamba atakupa.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo