Yobu 20:3 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC3 Nimesikia maonyo yanayonitahayarisha, Nayo roho ya ufahamu wangu hunijibu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Nasikia maonyo nisiyoweza kuvumilia, lakini akili yangu yanisukuma nijibu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Nasikia maonyo nisiyoweza kuvumilia, lakini akili yangu yanisukuma nijibu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Nasikia maonyo nisiyoweza kuvumilia, lakini akili yangu yanisukuma nijibu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Ninasikia makaripio ambayo yananivunjia heshima, nao ufahamu wangu unanisukuma kujibu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Ninasikia makaripio ambayo yananivunjia heshima, nao ufahamu wangu unanisukuma kujibu. Tazama sura |