Yobu 19:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC5 Ikiwa mtajitukuza juu yangu, Na kufanya aibu yangu kuwa hoja juu yangu; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Mnaishusha hadhi yangu mpate kujikuza; mnanilaumu kwa kunyenyekezwa kwangu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Mnaishusha hadhi yangu mpate kujikuza; mnanilaumu kwa kunyenyekezwa kwangu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Mnaishusha hadhi yangu mpate kujikuza; mnanilaumu kwa kunyenyekezwa kwangu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Kama kweli mngejitukuza wenyewe juu yangu, na kutumia unyonge wangu dhidi yangu, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 Kama kweli mngejitukuza wenyewe juu yangu, na kutumia unyonge wangu dhidi yangu, Tazama sura |