Yobu 19:3 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC3 Mara kumi hizi mmenishutumu; Hamwoni haya kunifanyia mambo magumu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Mara hizi zote kumi mmenishutumu. Je, hamwoni aibu kunitendea vibaya? Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Mara hizi zote kumi mmenishutumu. Je, hamwoni aibu kunitendea vibaya? Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Mara hizi zote kumi mmenishutumu. Je, hamwoni aibu kunitendea vibaya? Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Mara kumi hizi mmenishutumu; bila aibu mnanishambulia. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Mara kumi hizi mmenishutumu; bila aibu mnanishambulia. Tazama sura |