Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Yobu 19:28 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

28 Kama mkisema, Jinsi tutakavyomwudhi! Kwa kuwa shina la jambo hili limeonekana kwake;

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

28 “Nyinyi mwaweza kujisemea: ‘Tutamfuatia namna gani?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

28 “Nyinyi mwaweza kujisemea: ‘Tutamfuatia namna gani?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

28 “Nyinyi mwaweza kujisemea: ‘Tutamfuatia namna gani?

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

28 “Mkisema, ‘Tazama tutakavyomwinda, maadamu mzizi wa tatizo uko ndani yake,’

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

28 “Kama mkisema, ‘Tazama tutakavyomwinda, maadamu mzizi wa tatizo uko ndani yake,’

Tazama sura Nakili




Yobu 19:28
4 Marejeleo ya Msalaba  

Na Israeli wote watamlilia, na kumzika, kwa maana ndiye peke yake wa Yeroboamu atakayeingia kaburini; kwa sababu limeonekana ndani yake jambo lililo jema kwa BWANA, Mungu wa Israeli, nyumbani mwa Yeroboamu.


Mbona ninyi mnaniudhi kama Mungu, Wala hamkutosheka na nyama yangu?


Uogopeni upanga; Kwa maana adhabu za upanga zina ghadhabu, Mpate kujua ya kwamba hukumu iko.


Maana wanamwudhi mtu uliyempiga Wewe, Wanazidisha maumivu ya hao uliowatia jeraha.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo