Yobu 19:2 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC2 Je! Mtanichukiza nafsi yangu hata lini, Na kunivunjavunja kwa maneno? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 “Mtaendelea kunitesa mpaka lini, na kunivunjavunja kwa maneno? Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 “Mtaendelea kunitesa mpaka lini, na kunivunjavunja kwa maneno? Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 “Mtaendelea kunitesa mpaka lini, na kunivunjavunja kwa maneno? Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 “Je, mtaendelea kunitesa hadi lini, na kuniponda kwa maneno yenu? Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 “Je, mtaendelea kunitesa mpaka lini, na kuniponda kwa maneno yenu? Tazama sura |