Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Yobu 19:19 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

19 Marafiki zangu wote wa dhati wanichukia; Na hao niliowapenda wamenigeukia.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

19 “Rafiki zangu wakuu wanachukizwa nami, wale niliokuwa nikiwapenda wamenipa kisogo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

19 “Rafiki zangu wakuu wanachukizwa nami, wale niliokuwa nikiwapenda wamenipa kisogo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

19 “Rafiki zangu wakuu wanachukizwa nami, wale niliokuwa nikiwapenda wamenipa kisogo.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

19 Rafiki zangu wa moyoni wote wananichukia kabisa; wale ninaowapenda wamekuwa kinyume nami.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

19 Rafiki zangu wa moyoni wote wananichukia kabisa; wale niwapendao wamekuwa kinyume nami.

Tazama sura Nakili




Yobu 19:19
12 Marejeleo ya Msalaba  

Watu wa ukoo wangu wamekoma, Na marafiki zangu niwapendao wamenisahau.


Hata watoto wadogo hunidharau; Nikiondoka, huninena.


Kwani sasa ninyi mmekuwa hivyo; Mnaona maafa yangu, na kuogopa.


Wanipendao na rafiki zangu wanasimama mbali na pigo langu; Na jamaa zangu wanasimama mbali.


Lakini Wewe, BWANA, unifadhili, Uniinue nipate kuwalipa.


Hata rafiki yangu mwandani niliyemtumaini, Aliyekula pamoja nami, Ameniinulia kisigino chake.


Mwenzangu amenyosha mkono awadhuru waliopatana naye, Amelivunja agano lake.


Wanijuao umewatenga nami; Umenifanya kuwa chukizo kwao; Nimefungwa wala siwezi kutoka.


Yesu akamwambia, Yuda, wamsaliti Mwana wa Adamu kwa kumbusu?


Tufuate:

Matangazo


Matangazo