Yobu 19:16 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC16 Namwita mtumishi wangu, wala haniitikii, Ingawa namsihi kwa kinywa changu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 Namwita mtumishi wangu lakini haitikii, ninalazimika kumsihi sana kwa maneno. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 Namwita mtumishi wangu lakini haitikii, ninalazimika kumsihi sana kwa maneno. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 Namwita mtumishi wangu lakini haitikii, ninalazimika kumsihi sana kwa maneno. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 Namwita mtumishi wangu, wala haitiki, ingawa namwomba kwa kinywa changu mwenyewe. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 Namwita mtumishi wangu, wala haitiki, ingawa namwomba kwa kinywa changu mwenyewe. Tazama sura |