Yobu 19:11 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC11 Tena ameziwasha ghadhabu zake juu yangu, Akanihesabia kuwa mmoja katika watesi wake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema11 Ameichochea ghadhabu yake dhidi yangu; ameniona kuwa kama adui yake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND11 Ameichochea ghadhabu yake dhidi yangu; ameniona kuwa kama adui yake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza11 Ameichochea ghadhabu yake dhidi yangu; ameniona kuwa kama adui yake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu11 Hasira yake imewaka juu yangu; amenihesabu kuwa miongoni mwa adui zake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu11 Hasira yake imewaka juu yangu; amenihesabu kuwa miongoni mwa adui zake. Tazama sura |