Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yobu 19:10 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

10 Amenibomoa pande zote, nami nimetoweka; Na tumaini langu ameling'oa kama mti.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

10 Amenivunja pande zote, nami nimekwisha; tumaini langu amelingoa kama mti.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

10 Amenivunja pande zote, nami nimekwisha; tumaini langu amelingoa kama mti.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

10 Amenivunja pande zote, nami nimekwisha; tumaini langu ameling'oa kama mti.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

10 Amenibomoa kila upande hadi nimeisha; ameling’oa tegemeo langu kama mti.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

10 Amenibomoa kila upande hadi nimeisha; ameling’oa tegemeo langu kama mti.

Tazama sura Nakili




Yobu 19:10
15 Marejeleo ya Msalaba  

Tazama, yuavunja, wala haiwezekani kujenga tena; Humfunga mtu, wala haiwezekani kumfungua.


Maji mengi huyapunguza mawe; Mafuriko yake huuchukua mchanga wa nchi; Nawe matumaini ya wanadamu wayaangamiza.


Siku zangu zimepita, makusudi yangu yamevunjika, Hata hayo niliyo nayo moyoni mwangu.


Basi, tumaini langu liko wapi? Na tumaini langu, ni nani atakayeliona?


Basi Shetani akatoka mbele za uso wa BWANA, akampiga Ayubu na majipu mabaya tangu wayo wa mguu hadi utosi wa kichwa.


Tumbo lililomzaa litamsahau; buu litamla na kuona tamu; Hatakumbukwa tena; Na udhalimu utavunjwa kama mti.


Nguvu zangu ni zipi, hata ningoje? Na mwisho wangu ni nini, hata nisubiri?


Siku zangu hupita upesi kuliko chombo cha kufumia, Nazo zapita pasipokuwa na matumaini.


Siku zangu ni kama kivuli cha jioni, Nami ninanyauka kama majani.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo