Yobu 18:8 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC8 Kwani ametupwa katika wavu na miguu yake mwenyewe, Naye huenda juu ya matanzi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Nyayo zake mwenyewe zitamtia mtegoni; kila akitembea anakumbana na shimo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Nyayo zake mwenyewe zitamtia mtegoni; kila akitembea anakumbana na shimo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Nyayo zake mwenyewe zitamtia mtegoni; kila akitembea anakumbana na shimo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 Miguu yake imemsukumia kwenye wavu, naye anatangatanga kwenye matundu ya wavu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 Miguu yake imemsukumia kwenye wavu, naye anatangatanga kwenye matundu ya wavu. Tazama sura |