Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yobu 18:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

5 Naam, mwanga wa waovu utazimika, Wala muali wa moto wake hautang'aa.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

5 “Naam, mwanga wa mtu mwovu utazimishwa; mwali wa moto wake hautangaa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

5 “Naam, mwanga wa mtu mwovu utazimishwa; mwali wa moto wake hautangaa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

5 “Naam, mwanga wa mtu mwovu utazimishwa; mwali wa moto wake hautang'aa.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

5 “Taa ya mwovu imezimwa, nao mwali wa moto wake umezimika.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

5 “Taa ya mwovu imezimwa, nao mwali wa moto wake umezimika.

Tazama sura Nakili




Yobu 18:5
12 Marejeleo ya Msalaba  

Hataondoka gizani; Ndimi za moto zitayakausha matawi yake, Naye ataondoka kwa pumzi za kinywa chake.


Wewe ujiraruaye mwenyewe katika hasira yako, Je! Dunia itaachwa kwa ajili yako wewe? Au jabali litaondolewa mahali pake?


Ya kuwa shangwe ya waovu ni kwa muda kidogo, Na furaha ya wapotovu ni ya dakika moja tu?


Je! Ni mara ngapi taa yao waovu huzimwa? Na msiba wao kuwajia? Na Mungu kuwagawanyia uchungu kwa hasira yake?


Nuru ya mwenye haki yang'aa sana; Bali taa ya mtu mbaya itazimika.


Amlaaniye babaye au mamaye, Taa yake itazimika katika giza kuu.


Mwenye kiburi na moyo wa majivuno, Taa yake ni dhambi.


Kwa maana mtu mbaya hapati thawabu; Taa ya mtu mbaya itazimika.


Njia ya waovu ni kama giza; Hawajui ni kitu gani kiwakwazacho.


Tazama, ninyi nyote mwashao moto, mjifungiao hiyo mienge; endeni ninyi katika muali wa moto wenu, na katikati ya mienge mliyoiwasha. Mtayapata haya kwa mkono wangu; mtalala kwa huzuni.


Bali wabaya wanafanana na bahari iliyochafuka; maana haiwezi kutulia, na maji yake hutoa tope na takataka.


Nami nitakapokuzimisha, nitazifunika mbingu, na kuzifanya nyota zake kuwa giza; nami nitalifunika jua kwa wingu, wala mwezi hautatoa nuru yake.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo