Yobu 18:20 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC20 Hao wanaokaa magharibi watastaajabia siku yake, Kama vile wanaokaa mashariki walivyotiwa hofu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema20 Watu wa magharibi wameshangazwa na yaliyompata, hofu imewakumba watu wa mashariki. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND20 Watu wa magharibi wameshangazwa na yaliyompata, hofu imewakumba watu wa mashariki. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza20 Watu wa magharibi wameshangazwa na yaliyompata, hofu imewakumba watu wa mashariki. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu20 Watu wa magharibi watashangaa yaliyompata; watu wa mashariki watapatwa na hofu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu20 Watu wa magharibi watashangaa yaliyompata; watu wa mashariki watapatwa na hofu. Tazama sura |