Yobu 18:17 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC17 Kumbukumbu lake litakoma katika nchi, Wala hatakuwa na jina mashambani. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema17 Nchini hakuna atakayemkumbuka; jina lake halitatamkwa tena barabarani. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND17 Nchini hakuna atakayemkumbuka; jina lake halitatamkwa tena barabarani. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza17 Nchini hakuna atakayemkumbuka; jina lake halitatamkwa tena barabarani. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu17 Kumbukumbu lake litatoweka katika dunia, wala hatakuwa na jina katika nchi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu17 Kumbukumbu lake litatoweka katika dunia, wala hatakuwa na jina katika nchi. Tazama sura |