Yobu 18:13 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC13 Utakula via vya mwili wake, Naam, mzaliwa wa kwanza wa mauti atavila via vyake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema13 “Ugonjwa mbaya unakula ngozi yake, maradhi ya kifo hula viungo vyake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 “Ugonjwa mbaya unakula ngozi yake, maradhi ya kifo hula viungo vyake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 “Ugonjwa mbaya unakula ngozi yake, maradhi ya kifo hula viungo vyake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu13 Nayo yatakula sehemu ya ngozi yake; mzaliwa wa kwanza wa mauti atakula maungo yake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu13 Nayo yatakula sehemu ya ngozi yake; mzaliwa wa kwanza wa mauti atakula maungo yake. Tazama sura |