Yobu 18:10 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC10 Amefichiwa tanzi chini, Na mtego amewekewa njiani. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 Amefichiwa kitanzi ardhini; ametegewa mtego njiani mwake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Amefichiwa kitanzi ardhini; ametegewa mtego njiani mwake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Amefichiwa kitanzi ardhini; ametegewa mtego njiani mwake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 Kitanzi kimefichwa ardhini kwa ajili yake; mtego uko kwenye njia yake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 Kitanzi kimefichwa ardhini kwa ajili yake; mtego uko kwenye njia yake. Tazama sura |