Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yobu 17:7 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

7 Jicho langu nalo limekuwa giza kwa sababu ya majonzi, Na viungo vyangu vyote vimekuwa kama kivuli.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

7 Macho yangu yamefifia kwa uchungu; viungo vyangu vyote vimekuwa kama kivuli.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

7 Macho yangu yamefifia kwa uchungu; viungo vyangu vyote vimekuwa kama kivuli.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

7 Macho yangu yamefifia kwa uchungu; viungo vyangu vyote vimekuwa kama kivuli.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

7 Macho yangu yamefifia kwa ajili ya majonzi; umbile langu lote ni kama kivuli.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

7 Macho yangu yamefifia kwa ajili ya majonzi; umbile langu lote ni kama kivuli.

Tazama sura Nakili




Yobu 17:7
10 Marejeleo ya Msalaba  

Uso wangu umeharibika kwa kutoa machozi, Na giza tupu liko katika kope zangu;


Rafiki zangu hunidharau; Lakini jicho langu humwagia Mungu machozi;


Umenishika sana, na kuwa ushahidi juu yangu; Na kukonda kwangu kwaniinukia, kwanishuhudia usoni pangu.


Mwili wangu unavikwa mabuu na madongoa ya udongo; Ngozi yangu hufumba, kisha ikatumbuka tena.


Ninapita kama kivuli kianzacho kutoweka, Ninapeperushwa kama nzige.


Macho yangu yameharibika kwa masumbufu, Na kuchakaa kwa sababu yao wanaoniudhi.


Ondokeni kwangu, ninyi nyote mtendao uovu; Kwa kuwa BWANA ameisikia sauti ya kilio changu.


Kwa maana ni nani ajuaye yaliyo mema ya mwanadamu katika maisha yake, siku zote za maisha yake ya ubatili, anayoishi kama kivuli? Kwa maana ni nani awezaye kumweleza mwanadamu mambo yatakayofuata baada yake chini ya jua?


Kwa sababu hiyo mioyo yetu imezimia; Kwa ajili ya hayo macho yetu hayaoni vema.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo