Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yobu 17:13 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

13 Nikitazamia kuzimu kuwa nyumba yangu; Nikitandika malazi yangu gizani;

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

13 Kwa vile Kuzimu ndio nyumba yangu, na makao yangu yamo humo gizani;

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

13 Kwa vile Kuzimu ndio nyumba yangu, na makao yangu yamo humo gizani;

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

13 Kwa vile Kuzimu ndio nyumba yangu, na makao yangu yamo humo gizani;

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

13 Kama nyumba pekee ninayoitarajia ni kaburi, nikikitandika kitanda changu gizani,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

13 Kama nyumba pekee ninayoitarajia ni kaburi, kama nikikitandika kitanda changu gizani,

Tazama sura Nakili




Yobu 17:13
13 Marejeleo ya Msalaba  

Mtu akifa, je! Atakuwa hai tena? Mimi ningengoja siku zote za huduma yangu, Hadi kufunguliwa kwangu kunifikie.


Roho yangu imezimia, siku zangu zimekoma, Kaburi i tayari kunipokea.


Wabadili usiku kuwa mchana; Wasema, Mwanga u karibu kwa sababu ya giza.


Maana hapo ningelala na kutulia; Ningelala usingizi; na kupata kupumzika;


Kwani najua kuwa utanileta hata kifoni, Niifikie nyumba waliyoaandaliwa wenye uhai wote.


Nguvu zangu ni zipi, hata ningoje? Na mwisho wangu ni nini, hata nisubiri?


Kama vile wingu likomavyo na kutoweka, Ndivyo alivyo huyo ashukaye kuzimuni, hatazuka tena kabisa.


Kama ningepanda mbinguni, Wewe uko; Ningefanya kuzimu kitanda changu, Wewe uko.


Umtumainie BWANA, uwe imara, Upige moyo konde, naam, umngoje BWANA.


Naam, wataogopa kilichoinuka Na vitisho vitakuwapo njiani; Na mlozi utachanua maua; Na panzi atakuwa ni mzigo mzito; Na pilipili hoho itapasuka; Maana mtu aiendea nyumba yake ya milele, Nao waombolezao wazunguka njiani.


Yeye huingia katika amani; wao hustarehe katika vitanda vyao, kila mtu aendaye katika unyofu wake.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo