Yobu 17:10 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC10 Lakini rudini; ninyi nyote, njoni sasa; Wala sitampata mtu mwenye hekima kati yenu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 Lakini nyinyi njoni, njoni nyote tena, kwenu sitampata mwenye hekima hata mmoja. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Lakini nyinyi njoni, njoni nyote tena, kwenu sitampata mwenye hekima hata mmoja. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Lakini nyinyi njoni, njoni nyote tena, kwenu sitampata mwenye hekima hata mmoja. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 “Lakini ninyi njooni, ninyi nyote, jaribuni tena! Sitampata mtu mwenye hekima miongoni mwenu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 “Lakini ninyi njooni, ninyi nyote, jaribuni tena! Sitampata mtu mwenye hekima miongoni mwenu. Tazama sura |