Yobu 16:8 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC8 Umenishika sana, na kuwa ushahidi juu yangu; Na kukonda kwangu kwaniinukia, kwanishuhudia usoni pangu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Amenifanya ninyauke, na huo ni ushindi dhidi yangu. Kukonda kwangu kumenikabili na kushuhudia dhidi yangu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Amenifanya ninyauke, na huo ni ushindi dhidi yangu. Kukonda kwangu kumenikabili na kushuhudia dhidi yangu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Amenifanya ninyauke, na huo ni ushindi dhidi yangu. Kukonda kwangu kumenikabili na kushuhudia dhidi yangu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 Umenikunjakunja, nalo limekuwa ushahidi; nako kukonda kwangu kumeongezeka sana na kushuhudia dhidi yangu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 Umenikunjakunja, nalo limekuwa ushahidi; nako kukonda kwangu kumeongezeka sana na kushuhudia dhidi yangu. Tazama sura |