Yobu 16:19 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC19 Hata sasa, tazama, shahidi wangu yuko mbinguni. Na huyo atakayenidhamini yuko juu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema19 Nina hakika ninaye shahidi wangu mbinguni, mwenye kunitetea yuko huko juu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND19 Nina hakika ninaye shahidi wangu mbinguni, mwenye kunitetea yuko huko juu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza19 Nina hakika ninaye shahidi wangu mbinguni, mwenye kunitetea yuko huko juu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu19 Hata sasa shahidi wangu yuko mbinguni; wakili wangu yuko juu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu19 Hata sasa shahidi wangu yuko mbinguni; wakili wangu yuko juu. Tazama sura |