Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Yobu 16:16 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

16 Uso wangu umeharibika kwa kutoa machozi, Na giza tupu liko katika kope zangu;

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

16 Uso wangu ni mwekundu kwa kulia, kope zangu zimekuwa nyeusi ti;

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

16 Uso wangu ni mwekundu kwa kulia, kope zangu zimekuwa nyeusi ti;

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

16 Uso wangu ni mwekundu kwa kulia, kope zangu zimekuwa nyeusi ti;

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

16 Uso wangu umekuwa mwekundu kwa kulia, macho yangu yamepigwa na giza.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

16 Uso wangu umekuwa mwekundu kwa kulia, macho yangu yamepigwa na giza kuu.

Tazama sura Nakili




Yobu 16:16
14 Marejeleo ya Msalaba  

Rafiki zangu hunidharau; Lakini jicho langu humwagia Mungu machozi;


Jicho langu nalo limekuwa giza kwa sababu ya majonzi, Na viungo vyangu vyote vimekuwa kama kivuli.


Maana asubuhi kwao wote ni kama giza tupu; Maana wao wavijua vitisho vya hiyo giza tupu.


Maana ninakula majivu kama chakula, Na kukichanganya kinywaji changu na machozi.


Kamba za mauti zilinizunguka, Shida za kuzimu zilinipata. Nilipata dhiki na mateso;


Ee BWANA, unifadhili, maana ni katika dhiki, Jicho langu limenyauka kwa masumbufu, Naam, mwili wangu na nafsi yangu.


Nilipokosa kuungama dhambi zangu, mifupa yangu ilipooza Kwa kulia kwangu mchana kutwa.


Nimechoka kwa kulia kwangu, Koo yangu imekauka. Macho yangu yamedhoofika Kwa kumngoja Mungu wangu.


Kama vile wengi walivyokustaajabia, (uso wake ulikuwa umeharibiwa sana zaidi ya mtu yeyote, na umbo lake zaidi ya wanadamu),


Mimi ninayalilia mambo hayo; Jicho langu, jicho langu linachuruzika machozi; Kwa kuwa mfariji yuko mbali nami, Ambaye ilimpasa kunihuisha nafsi; Watoto wangu wameachwa peke yao, Kwa sababu huyo adui ameshinda.


Akawaambia, Roho yangu ina huzuni nyingi kiasi cha kufa; kaeni hapa mkeshe.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo