Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Yobu 16:15 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

15 Nimeshona nguo ya magunia juu ya mwili wangu, Na nguvu zangu nimezibwaga mavumbini.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

15 “Nimejishonea mavazi ya gunia, fahari yangu nimeibwaga mavumbini.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

15 “Nimejishonea mavazi ya gunia, fahari yangu nimeibwaga mavumbini.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

15 “Nimejishonea mavazi ya gunia, fahari yangu nimeibwaga mavumbini.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

15 “Nimejishonea gunia juu ya mwili wangu, nami nimezika paji la uso wangu kwenye vumbi.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

15 “Nimejishonea nguo ya gunia juu ya mwili wangu nami nimekizika kipaji cha uso wangu kwenye vumbi.

Tazama sura Nakili




Yobu 16:15
12 Marejeleo ya Msalaba  

Yakobo akararua mavazi yake, akajivika gunia viunoni, na kumlilia mwanawe siku nyingi.


Ikawa, Ahabu alipoyasikia maneno hayo, akayararua mavazi yake, akavaa magunia mwilini mwake, akafunga, akajilaza juu ya magunia, akaenda kwa upole.


Amenivua utukufu wangu, Na kuiondoa taji kichwani mwangu.


Yeye amenibwaga topeni, Nami nimekuwa kama mavumbi na majivu.


Nilipofanya gunia kuwa nguo zangu, Nikawa kifani cha dharau kwao.


Basi adui na anifuatie, Na kuikamata nafsi yangu; Naam, aukanyage uzima wangu, Na kuulaza utukufu wangu mavumbini.


Nguvu zote za wasio haki nitazimaliza, Lakini nguvu za mwenye haki nitaziimarisha.


Msiiinue pembe yenu juu, Wala msinene kwa shingo ya kiburi.


Siku hiyo Bwana, BWANA wa majeshi, akawaita watu walie na kuomboleza, na kung'oa nywele zao, na kuvaa nguo za magunia;


Na atie kinywa chake mavumbini; Ikiwa yamkini liko tumaini.


Naye Hana akaomba, akasema, Moyo wangu wamshangilia BWANA, Pembe yangu imetukuka katika BWANA, Kinywa changu kimepanuka juu ya adui zangu; Kwa kuwa naufurahia wokovu wako;


Washindanao na BWANA watapondwa kabisa; Toka mbinguni yeye atawapigia radi; BWANA ataihukumu dunia yote; Naye atampa mfalme wake nguvu, Na kuitukuza pembe ya masihi wake.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo