Yobu 16:14 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC14 Hunivunja kwa uvunjifu juu ya uvunjifu; Hunishambulia mfano wa jitu shujaa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema14 Hunivunja na kunipiga tena na tena; hunishambulia kama askari. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND14 Hunivunja na kunipiga tena na tena; hunishambulia kama askari. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza14 Hunivunja na kunipiga tena na tena; hunishambulia kama askari. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu14 Huniponda tena na tena; hunishambulia kama shujaa wa vita. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu14 Huniponda tena na tena; hunishambulia kama shujaa wa vita. Tazama sura |