Yobu 15:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC4 Naam, wewe wapuuza hofu ya Mungu, Nawe wazuia ibada mbele za Mungu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Lakini wewe unapuuza uchaji wa Mungu; na kuzuia kutafakari mbele ya Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Lakini wewe unapuuza uchaji wa Mungu; na kuzuia kutafakari mbele ya Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Lakini wewe unapuuza uchaji wa Mungu; na kuzuia kutafakari mbele ya Mungu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Lakini unadhoofisha hata uchaji wa Mungu na kuzuia ibada mbele za Mungu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Lakini unadhoofisha hata uchaji wa Mungu na kuzuia ibada mbele za Mungu. Tazama sura |