Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Yobu 15:35 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

35 Wao hutunga mimba ya madhara, na kuzaa uovu, Na mioyo yao hutunga udanganyifu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

35 Wanatunga udanganyifu na kuzaa uovu. Mioyo yao hupanga udanganyifu.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

35 Wanatunga udanganyifu na kuzaa uovu. Mioyo yao hupanga udanganyifu.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

35 Wanatunga udanganyifu na kuzaa uovu. mioyo yao hupanga udanganyifu.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

35 Hutunga mimba ya madhara na kuzaa uovu; tumbo zao huumba udanganyifu.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

35 Hutunga mimba ya madhara na kuzaa uovu; matumbo yao huumba udanganyifu.”

Tazama sura Nakili




Yobu 15:35
11 Marejeleo ya Msalaba  

Ndipo Ayubu akajibu, na kusema,


Kama mimi nilivyoona, hao walimao maovu, Na kupanda madhara, huvuna yayo hayo.


Kwani taabu haitoki mchangani, Wala mashaka hayachipuki katika nchi;


Tazama, huyu ametunga uovu, Amechukua mimba ya madhara, amezaa uongo.


Amechimba shimo, amelichimba chini sana, Akatumbukia katika handaki aliyoichimba!


Kwa maana moyo wao hufikiri dhuluma, Na midomo yao huongea madhara.


Mmelima dhuluma, mmevuna uovu; mmekula matunda ya uongo; kwa maana uliitumainia njia yako, na wingi wa mashujaa wako.


Ole wao wakusudiao mambo maovu, na kutenda mabaya vitandani mwao! Kunapopambazuka asubuhi huyafanya, sababu wana uwezo mikononi mwao.


Halafu ile tamaa ikiisha kuchukua mimba huzaa dhambi, na ile dhambi ikiisha kukomaa huzaa mauti.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo