Yobu 15:33 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC33 Atayapukutisha mapooza yake kama mzabibu, Na kuyatupa maua yake kama mzeituni. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema33 Atakuwa kama mzabibu unaopukutisha zabibu mbichi, kama mzeituni unaoangusha maua yake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND33 Atakuwa kama mzabibu unaopukutisha zabibu mbichi, kama mzeituni unaoangusha maua yake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza33 Atakuwa kama mzabibu unaopukutisha zabibu mbichi, kama mzeituni unaoangusha maua yake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu33 Atafanana na mzabibu uliopukutishwa matunda yake kabla hayajaiva, kama mzeituni unaodondosha maua yake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu33 Atafanana na mzabibu uliopukutishwa matunda yake kabla hayajaiva, kama mzeituni unaodondosha maua yake. Tazama sura |