Yobu 15:29 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC29 Hatakuwa tajiri, wala mali zake hazitadumu, Wala mavuno yao hayatainama nchi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema29 Mtu huyo kamwe hatakuwa tajiri; wala utajiri wake hautadumu duniani. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND29 Mtu huyo kamwe hatakuwa tajiri; wala utajiri wake hautadumu duniani. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza29 Mtu huyo kamwe hatakuwa tajiri; wala utajiri wake hautadumu duniani. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu29 Hatatajirika tena, nao utajiri wake hautadumu, wala mali yake haitakuwa nyingi juu ya nchi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu29 Hatatajirika tena, nao utajiri wake hautadumu, wala mali zake hazitakuwa nyingi juu ya nchi. Tazama sura |