Yobu 15:26 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC26 Humshambulia na shingo ngumu, Kwa mafundo makubwa ya ngao zake; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema26 alikimbia kwa kiburi kumshambulia, huku ana ngao yenye mafundo makubwa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND26 alikimbia kwa kiburi kumshambulia, huku ana ngao yenye mafundo makubwa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza26 alikimbia kwa kiburi kumshambulia, huku ana ngao yenye mafundo makubwa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu26 kwa kiburi akishambulia dhidi ya Mungu akiwa na ngao nene, iliyo imara. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu26 kwa kiburi akishambulia dhidi ya Mungu akiwa na ngao nene, iliyo imara. Tazama sura |