Yobu 15:25 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC25 Kwa kuwa amenyosha mkono wake juu ya Mungu, Na kuendelea kwa kiburi kinyume cha Mwenyezi; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema25 Kwa sababu amenyosha mkono wake dhidi ya Mungu; akadiriki kumpinga huyo Mungu mwenye nguvu; Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND25 Kwa sababu amenyosha mkono wake dhidi ya Mungu; akadiriki kumpinga huyo Mungu mwenye nguvu; Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza25 Kwa sababu amenyosha mkono wake dhidi ya Mungu; akadiriki kumpinga huyo Mungu mwenye nguvu; Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu25 kwa sababu amemkunjia Mungu ngumi yake na kujigamba dhidi ya Mwenyezi, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu25 kwa sababu amemkunjia Mungu ngumi yake na kujigamba dhidi ya Mwenyezi, Tazama sura |
Bali umejiinua juu ya Bwana wa mbingu; nao wamevileta vyombo vya nyumba yake mbele yako; na wewe, na wakuu wako, na wake zako, na masuria wako, mmevinywea; nawe umeisifu miungu ya fedha na ya dhahabu na ya shaba, na ya chuma, na ya mti, na ya mawe; wasioona, wala kusikia, wala kujua neno lolote; na Mungu yule, ambaye pumzi yako i mkononi mwake, na njia zako zote ni zake, hukumtukuza.