Yobu 15:17 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC17 Mimi nitakuonesha, unisikilize; Na hayo yote niliyoyaona nitayanena; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema17 “Sasa nisikilize, nami nitakuonesha, nitakuambia yale niliyoyaona, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND17 “Sasa nisikilize, nami nitakuonesha, nitakuambia yale niliyoyaona, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza17 “Sasa nisikilize, nami nitakuonesha, nitakuambia yale niliyoyaona, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu17 “Nisikilize mimi nami nitakueleza, acha nikuambie yale niliyoyaona, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu17 “Nisikilize mimi nami nitakueleza, acha nikuambie yale niliyoyaona, Tazama sura |