Yobu 15:16 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC16 Sembuse mtu ambaye ni mwenye kuchukiza na uchafu, Mwanadamu anywaye uovu kama anywavyo maji! Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 sembuse binadamu aliye kinyaa na mpotovu binadamu atendaye uovu kama kunywa maji! Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 sembuse binadamu aliye kinyaa na mpotovu binadamu atendaye uovu kama kunywa maji! Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 sembuse binadamu aliye kinyaa na mpotovu binadamu atendaye uovu kama kunywa maji! Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 sembuse mwanadamu ambaye ni mwovu na mpotovu, ambaye hunywa uovu kama anywavyo maji! Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 sembuse mwanadamu ambaye ni mwovu na mpotovu, ambaye hunywa uovu kama anywavyo maji! Tazama sura |