Yobu 15:11 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC11 Je! Utulivu wa Mungu ni mdogo sana kwako, Maliwazo ya Mungu ni madogo sana kwako? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema11 Je, faraja anazokupa Mungu ni ndogo mno? Au je, neno lake la upole kwako si kitu? Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND11 Je, faraja anazokupa Mungu ni ndogo mno? Au je, neno lake la upole kwako si kitu? Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza11 Je, faraja anazokupa Mungu ni ndogo mno? Au je, neno lake la upole kwako si kitu? Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu11 Je, faraja za Mungu hazikutoshi, au maneno yaliyosemwa kwako kwa upole si kitu? Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu11 Je, faraja za Mungu hazikutoshi, au maneno yaliyosemwa kwako kwa upole si kitu? Tazama sura |